Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza, Theresa May, kesho atakabidhiwa wadhifa wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Hapo jana, mgombea mwenzake wa chama cha Conservative, Andrea Leadsom, alitangaza kujitoa kwenye kinyang'anyiro.
Kadi za kieletroniki kwa ajili ya wasafiri wa mabasi yaendayo haraka katika jiji la Dar es Salaam zitaanza kutolewa lkatika juhudi za kupung...