Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Cancer tangu mwaka jana.
Bwana ametoa na bwana ametwaa, Jina la bwana LIHIMIDIWE