WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumatatu, 11 Aprili 2016

Rais Magufuli amefuta uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anna Kilango Malechella ameondolewa kwenye nafasi yake baada ya kusema mkoa wa shinnyanga hauna wafanyakazi hewa ili hali wapo wafanyakazi 45 hewa

Rais pia ametengua pia nafasi katibu tawala wa mkoa huo na kuagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi hao mara moja baada ya kutoa taarifa ya uongo kwa uma

Taarifa hio imekuja baada ya uchunguzi binafsi wa raisi ulio fanyika kwa awamu ya kwanza kukamilika na kusubiriwa uchunguzi wa awamu ya pili