WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumamosi, 25 Juni 2016

Chuo kikuu cha Dar es Salaam chatangaza kutumia Kiswahili rasmi

Katika kuunga mkono juhudi hizo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetangaza kutumia Kiswahili kama lugha rasmi ya mawasiliano chuoni hapo ikiwa ni kuunga mkono kauli hiyo

Juni 16, mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa bungeni alisema Serikali inatarajia kuanza kutumia Kiswahili katika mikutano yote ya kimataifa itakayowakilishwa na viongozi wake baada ya kutuma wataalamu watakaokitafsiri kwa watumiaji wa lugha ya kiswahili