Serikali imemuagiza katibu mkuu wizara ya ujenzi,uchukuzi na mawasiliano, anayeshughulikia sekta ya mawasiliano kuhakikisha kituo cha data cha kuhifadhia kumbukumbu na internet za Taifa kinafanyakazi ifikapo mwishoni mwa mwezi huu na endapo atashindwa ajiuzuru kazi mwenyewe.