Sir Ian McKellen, Ni mwigizaji anaefahamika kama Erik Lehnsherr/Magneto kwenye filamu za X-Man series, amejitokeza kwenye maonyesho ya wazi ya "match-making corner" huko china kwenye bustani maarufu za Shanghai People’s Park,
Staa huyo alinukuliwa akisema "natafuta muchumba (looking for date)" huku akiwa ameshikilia kibango kinacho mtambulisha kikiwa na ujumbe "upendo unaangaliwa si kwa macho bali kwa akili"