WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumamosi, 7 Mei 2016

Shehena ya sukari yakamatwa Dar es salaam

Baada ya muda mfupi wa rais kusema kuwa kuna
wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu
imeripotiwa kuwa huko Mbagala kuna Sukari ya
zaidi ya tani 4,900 kwenye ghala la mfanyabiashara
mmoja na imeelezwa zitachukuliwa hatua stahiki.