Mvua kubwa ilio ambatana na upepo mkali imenyesha Morogoro imesababisha maafa ya baadhi ya nguzo kuanguka na kusababisha adha kwa wapita njia
Nyaya zimeonekana kwenye paaa za nyumba za wakazi wa mji mpya manispaa ya morogoro mjini
Moja ya mkazi wa mji mpya Bi Mbuzi ambae nyumba yake iliangukiwa na nyaya izo amesema wameona moshi ukitoka kwenye paaa lao
Wananchi wamesema, wametoa taarifa TANESCO ambo mpaka KinTv inaondoka eneo latukio walikuwa hawajafika