WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumanne, 29 Machi 2016

Rais Magufuli mgahawani mwanza

Rais wa Tanzania John Magufuli ameingia kwa kushtukiza katika mghahawa mmoja Mwanza na kusalimiana na wateja na wananchi kisha

kuagiza chakula na kula pamoja. Aidha, ameagiza kupewa vinywaji baridi kwa wananchi waliokuwepo eneo hilo.

Mmiliki wa mgahawa huo  ameahidi kubadilisha jina la mghahawa wake na kuupatia jina la Dk Magufuli Cafe. Picha/Ikulu, Tanzania