WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumanne, 12 Julai 2016

Sudani kusini

Hali mjini Juba inaelezwa kuwa shwari baada ya Rais Salva Kiir kutangaza kusitishwa kwa mapigano. Umoja wa Ulaya unazitaka nchi jirani ziwe tayari kupokea maelfu ya watu waliokimbia machafuko.