Serikali imeagiza wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini (REA) awamu ya pili katika maeneo mbalimbali nchini wahakikishe ifikapo tarehe 30 mwezi june wanakamilisha miradi hiyo na endapo
watashindwa kutekeleza zoezi hilo watafungiwa kufanya kazi zao hapa nchini pamoja na kulipa fidia kwa mujibu wa mkataba uliowekwa kati yao na serikali.