Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza rasmi kumuunga mkono Hillary Clinton kugombea urais wa nchi hiyo.
Rais Obama amemsifia Bi.Hillary kwa uwezo wake wa kufanya maamuzi na uvumilivu,na kusema hakuna mwenye sifa zaidi ya Bi Hillary kuwa rais wa Marekani.