WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumatatu, 6 Juni 2016

Maandamano yaanza upya Kenya

Shughuli za biashara, usafiri na masomo zimetatizwa katika mji wa Kisumu kufuatia maandamano yanayoongozwa na upinzani CORD kushinikiza kubanduliwa kwa tume inayosimamia uchaguzi IEBC. Polisi wameonya watatumia nguvu.