Msanii wa muziki, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond amekabidhi madawati 600 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda
Diamond pamoja na uongozi wake wa Wasafi Classic wametoa madawati hayo ili kusaidia tatizo la uhaba wa madawati kwenye shule za Mkoa wa Dar es salaam