Bodi ya Makandarasi nchini yawafutia leseni Makandarasi zaidi ya 4000 kutokana na utekelezaji wa miradi chini ya kiwango.
Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni siku moja baada ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa kutoa agizo la kuifuta Bodi ya Usajili wa Makandarasi iwapo itashindwa kuwafuta Makandarasi wababaishaji.