Rais John Pombe Magufuli ameizuia Benki Kuu (BoT) kufanya malipo ya zaidi ya Tsh.925 bilioni kwa watu na taasisi mbalimbali
Rais magufuli ameagiza kufanyika kwa uhakiki ili kubaini wanaostahili kulipwa.
Pia ameagiza ufanyike uhakiki wa wafanyakazi wa taasisi hiyo na kuwaondoa wafanyakazi hewa na wale wasio na ulazima katika ofisi