WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumanne, 7 Juni 2016

Tuhuma za rushwa za tawala uchaguzi Yanga

Sakata la uchaguzi wa Yanga limeingia sura mpya baada ya kuwasilisha kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania TAKUKURU kutokana na tuhuma za rushwa zinazohusiana na uchaguzi huo.