Tanzania imeanza kuunda helikopta zake yenyewe ambazo zitaanza kuruka angani hivi karibuni
Tanzania imetengeneza helikopta ya siti mbili ambayo ipo kwenye hatua za mwisho za utengenezwaji na inatarajiwa kuanza kuruka kwa majaribio baada ya kupata kibali cha Tanzania Civil Aviation Authority
Aidha utengenezwaji wa ndege hizo utaanza rasmi 2018." helikopta zilizo tengenezwa Tanzania zitaanza kuruka kabla ya 2020 na kwa kwa uhakika 2018, ambapo ni miaka miwili kutoka sasa." alisema Injinia Mjema