Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (Pichani) amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mji wa Kibaha Lea Lwanji. Na afisa utamaduni wa wilaya kwa kusafiri kwenda Sweden bila kibali na wakati huo huo amemvua nafasi ya Ualimu mkuu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Maili moja kwa kosa la kuchelewa kazini na sasa atakuwa mwalimu wa kawaida.