WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumanne, 21 Novemba 2017

Moto

MOTO SHIRIKA LA HABARI CLOUDS MEDIA TANZANIA:
Jeshi la zima moto limefika katika jengo la kituo cha habari cha Clouds  Media Group mjini Dar es salaam kudhibiti moto uliozuka katika mojawapo ya vyumba vya kurushia matangazo ya televisheni.

Chanzo cha moto hadi sasa bado hakijafahamika.Tayari moto umeshadhbitiwa.
Hamna majeruhi wala vifo na thamani ya uharibifu haijafahamika bado.