WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Ijumaa, 10 Juni 2016

Wabunge wa upinzani waendeleza mgomo

Mara baada ya Sala ya Asubuhi ya kuliombea Bunge,Wabunge wa Upinzani wametoka nje kwa kuimarisha msimamo wao wa kupinga Naibu Spika Tulia Ackson namna anavyoongoza vikao hivyo vya Bunge.