WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Ijumaa, 27 Mei 2016

Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa mabasi ya mwendo kasi

Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa mabasi ya haraka eneo la Kimara kuona ufanisi wake, na kuwataka abiria wanaotumia tiketi zilizokwisha muda wake kuacha mara moja kwani kufanya hivyo ni kukiuka taratibu na dhumuni la mradi huo na kusema wanaofanya hivyo watachukuliwa hatua,nakupongeza mwenendo wa mabasi hayo ya usafiri huku akisema Serikali itafunga kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wa mabasi hayo kutoka kituo kimoja hadi kingine.