WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Ijumaa, 6 Mei 2016

Kauli ya Rais Magufuli juu ya bei za sukari

"...Serikali ya Magufuli haiwezi kushindwa kuagiza sukari....nimeshamuagiza Waziri Mkuu na tutawaletea sukari. Kwa wale wafanya biashara wanaoficha sukari....tutawanyanganya na kuigawa sukari hiyo bure kwa wananchi...na wafanya biashara hao kamwe hawataweza kufanya biashara tena nchini Tanzania."----Rais John Pombe Magufuli.