WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Ijumaa, 18 Machi 2016

Umoja wa ulaya wafakiana juu ya wahamiaji

Katika mapendekezo ya mpango uliowekwa, wahamiaji
wanaoingia Ugiriki kutoka Uturuki watarudishwa huku Uturuki
ikipewa msaada wa kifedha na wakati huo huo raia wake
kuweza kuingia barani ulaya bila visa.

Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel alilizungumzia
baada ya mkutano huo wa umoja wa ulaya na Uturuki
uliofanyika nchini Brussells.
Amesema Uturuki imekubali kukabiliana na umiminikaji wa
wahamiaji kwa kupokea wakimbizi ambao wanarudishwa

kutoka fukwe za Ugirikri ,fursa ambayo ni nzuri ili kwa kuwa
inawaweka pembeni wafanya biashara haramu wa
binadamu.Hata hivyo suala hili linapaswa kuwa wazi
kisheria,suala ambalo lilipewa mkazo zaidi katika mkutano
huo.Tumekubaliana kuwa kila muhamiaji anayetoka katika
fukwe ataweza kusikizwa yeye binafsi.
Ingawa chancellor wa Ujerumani ,Angela Merkel alisisitiza
kuwa Ugiriki inahitaji msaada wakati ambao maelfu ya
wakimbizi wamekwama nchini mwake.Raisi wa Ufaransa
,Francois Hollande, unahitaji makubaliano ambayo yataisaidia
Ugiriki pamoja na Uturuki.