Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetupilia mbali ombi la mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mahakama kuu kanda ya Mwanza kukubali kufunguliwa na kuanza kusikiliza kesi ya kupinga uamuzi wa jeshi la polisi nchini kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.