WE ARE UNDER CONSTRUCTION........COMING BACK SOON
Most Popular

Jumanne, 15 Machi 2016

Nusu fainali za FA Cup

Klabu Tano(5) za  England kuingia kwenye Chungu cha droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali za EMIRATES FA CUP.

Timu hizo 5 zitakazoshiriki kombe hilo kongwe duniani ni Manchester United, West Ham, Everton, Watford na Crystal Palace, Wakati Everton.

Watford na Crystal Palace tayari zimetinga Nusu Fainali,

Man United na West Ham inabidi zirudiane huko Uptonkatika Tarehe itakayopangwa baadae baada ya Jana

Jumapili kwenda Sare 1-1 huko Old Trafford na Mshindi kutinga Nusu Fainali.

Kati ya hizi Timu 5 ni Man United pekee yenye rekodi ya kutwaa Mataji makubwa katika Miaka 20 iliyopita.

Mechi za Nusu Fainali zimepangwa kuchezwa Uwanja wa
Wembley Jijini London hapo Jumamosi Aprili 23 na Jumapili Aprili 24.

Fainali ya FA CUP itachezwa pia Uwanjani Wembely hapoMei 21.

Katika Droo ya Leo, Timu zimepewa Namba za Vipira
ambavyo vitawekwa kwenye Chungu, 1 - Crystal Palace, 2
– Everto ,3 – Watford, 4 - West Ham United na Manchester
United.