Mchezaji wa zamani wa Barcelona na mashambuliaji wa Chelsea Samuel Eto'o amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu GeorgetteTra Lous Jumanne mjini stezzano, Italia
Staa huyo wa Cameroon mwenye umri wa miaka 35 amefanya sherehe hio ilio wavutia mamia ya watu katika mitaa katika mji huo.
Kwa mujibu wa ripoti, Eto'o na mke wake wamekua kwenye ndoa tangu 2007 lakini hawakufanya bado harusi ya kizungu "white wedding".
Aidha Wawili hao wamekua wakiishi pamoja na wamepata watoto watano According to reports Eto'o